IBADILI LAINI YAKO KUA YA MWANACHUO HAPA
Kama ulikua unaitafuta fursa ya kujisajili kwa huduma ya Uni bundles hujachelewa. Vodacom wamekuletea tena fursa ya kusajili line yako ili uweze kupata ofa ya vifurushi vya mwanachuo. Jinsi ya kujisajili. Bofya neno "sajili" hapa chini, soma maelekozo vyema kisha jaza taarifa zako zinazohitajika hapo kisha bofya "submit" SAJILI