IBADILI LAINI YAKO KUA YA MWANACHUO HAPA

Kama ulikua unaitafuta fursa ya kujisajili kwa huduma ya Uni bundles hujachelewa. Vodacom wamekuletea tena fursa ya kusajili line yako ili uweze kupata ofa ya vifurushi vya mwanachuo.

Jinsi ya kujisajili.
Bofya neno "sajili" hapa chini, soma maelekozo vyema kisha jaza taarifa zako zinazohitajika hapo kisha bofya "submit"
                            SAJILI

Comments

Post a Comment

Popular posts from this blog

EXISTENTIALISM: HISTORY AND MEANING.

PRACTICE QUESTIONS OF ALL TIMES ON MICROBIOLOGY